advanced Search
KAGUA
6106
Tarehe ya kuingizwa: 2010/11/09
Summary Maswali
je ni wajibu wangu kulipa fidia ya funga zilizonipita kwa kutokana na uzembe wa wazazi wangu?
SWALI
mimi ni kijana niliyelelewa katika familia isiyojaji dini, hali ambayo imenifanya mimi kuwa si mwenye kufunga tokea nikiwa na umri wa miaka kumi na tano, niakaendela kubakia katika hali hiyo kwa muda wa miaka minanae, na nilianza kuzifahamu sheria za dini pale nilipofikia umri wa miaka ishirini na nne, na hapo ndipo nilipoanza kufunga, na hivi sasa nimeamua kuzilipa zile funga za miaka minane iliyopita, je ni wajibu wangu pia kuzilipia fidia funga hizo? Nataraji kupata ufafanuzi wa kutosha kutoka kwenu, nakushukuruni sana na ahsanteni sana.
MUKHTASARI WA JAWABU

Ofisi ya Ayatullahi Sistani (Mungu ameweke) inajibu kwa kusema:

Iwapo wewe ulikuwa hujui kuwa saumu ni wajibu, basi lipa tu hizo funga za miaka minane, na hakuna haja ya kuzilipia fidia.

 

Ofisi ya Ayatullahi Makaarim Shiraziy (Mungu amuweke) nayo inajibu kwa kusema:

Anza kuzilipa sala na funga kidogo kidogo, na kuhusiana na ulipaji wa fidia juu ya funga hizo, rejea katika kitabu chetu Taudhihul-masaail, kwenye suala la 1401 hadi 1402, na lile ambalo litakuwa liko nje ya uwezo wako, Mola atakusamehe.

 

Ofisi ya Ayatullahi Safi Gulpeigani nayo iasema:

Iwapo utakuwa wewe ulikuwa ukijua kuwa saumu ni wajibu kwa yule aliyefikia baleghe, kisha ukawa unajuwa kuwa mwanzo wa baleghe ni kuanzia umri gani, hapo utawajibikiwa kuzilipia fidia saumu hizo pamoja na kuzikidhi.

 

Jawabu kutoka kwa Ayatullahi Mahdiy Hadawiy Tehraniy (Mungu amlinde):

Hukumu ya mtu ailyekula kwa makusudi, ni kufunga siku sitini mfullulizo au kuwalisha mafakiri sitini kwa kila siku moja ambayo umekula. Iwapo mtu atataka kutoa kafara (fidia) ya funga ya siku moja, itambidi ampe fakiri kiwango cha gramu 750 za chakula, kama vile ngano, mchele au kile chenye kufanana na vitu kama hivyo.

TARJAMA YA JAWABU KATIKA LUGHA NYENGINE
MAONI
Idadi ya maoni 0
Tafadhali ingiza thamani
mfano : Yourname@YourDomane.ext
Tafadhali ingiza thamani
<< Niburute.
Tafadhali ingiza kiasi sahihi ya usalama Kanuni

MPANGILIO WA KIMAUDHUI

MASWALI KIHOLELA

 • Shakhsiya yake ilikuwa vipi ?mtazamo wa Ahlul bait kuhusiana na yeye.Riwaya zilizonukuluwa kwake zina hukumu gani?
  2922 تاريخ بزرگان
  Umayri bni Maliki ni katika wajukuu wa khazraji aliyejulikana sana kwa vinyongo,ni katika sahaba wa mtume,[saww]yeye nikatika kabila la watu wa khazraj na aliishi Madina, alisilimu baada ya kupita miezi kadhaa ya mtume kufika Madinah Abu dardaii aliitikadi ubora wa imamAli[as] dhidi ya Muawiyah.Alifatana na Abu Huraira ...
 • je mwenye saumu anaruhusiwa kukoga janaba?
  18111 جنابت
  Mtu anaweza kupatwa na janaba katika hali mbili: ima itakuwa ni kabla ya adhana ya asubuhi au baada ya adhana ya asubuhi, lakini janaba tunalolizungumzia hapo ni lile janaba la dharura, kama vile dharura ya kuota, siyo la kupiga ponyeto au kujamii. Kukoga janaba kabla ...
 • Niyə müsəlman bir kişi əhli kitab qadını ilə daimi evlənə bilməz amma müvəqqəti evlənə bilər?
  4718 اشتراک در دین
  Kitab əhli qadınları ilə müsəlman kişilərin daimi evliliyi barədə fəqihlərin baxışı müxtəlifdir. Bu ixtilafın səbəbi bu sahədə olan müxtəlif rəvayətlərdən irəli gəlir. Belə nəzərə çarpır ki, bəzi hədislərdə bu evliliyə icazə verlməməsinin hikməti müsəlman kişilərin kafir qadınların əxlaq və xasiyyətlərinin və həmçinin inanclarının təsir altına düşməsinin qarşısını ...
 • je mtu asiwajibikiwa kufunga (asiyefunga) ana ulazima wa kutoa zakatul-fitri?
  9208 زکات فطره
  Mtu atakaeingiliwa na usiku wa Idil-fitri, huku akiwa ni baleghe na mwenye akili timamu, naye akiwa si mtumwa wa mtu wala si fakiri, mtu huyo atawajibika kutoa zakatul-fitri kwa ajili yake na kwa ajili ya wale wote anaowahudumia, na kiwango cha kila mmoja ni kiasi cha kilo ...
 • nini maana ya itikafu
  15984 اعتکاف
  Neno (itikafu) kilugha, huwa lina maana ya kule mtu kukaa na kubaki katika sehemu au pahala maalumu, huku akiwa ameshikamana na jambo maalumu ndani ya mahala hapo, lakini neno hili kitaalamu (kwenye fani ya sheria za Kiislam) linamaanisha kule mtu kukaa katika sehemu takatifu kwa ajili ya ...
 • je Imamu Huein (a.s) aliwahi kuwa na bint aliyeitwa Ruqayya?
  6353 اهل بیت و یاران
  Katika tokeo muhimu la Karbala, kulikuwa kuna aina nyingi za nyuso zilizong’ara, na baadhi ya nyuso hizo zilikuwa ni nyuso za watoto wadogo, lakini Tarehe haikunukuu habari kamili kuhusiana na nyuso zote za watoto hao. Lakini mmoja miongononi mwa watoto waliotajwa na Tarehe, ni Ruqayya mwana wa ...
 • Tafadhali naomba munieleweshe, nini maana ya hijja kilugha?
  3838 بیشتر بدانیم
  Hijja kilugha; Ni kukisudia na kukiendea kitu au jambo fulani.[1] Neno hijja Kisheria na kitaalamu; Neno hijja kisheria ni lenye kuashiria aina maalumu ya ibada yenye kutendeka mahala maalumu, kwa mfumo na wakati maalumu. Ibada hii inatakiwa kutendeka katika nyumba maalumu ya Mwenye Ezi ...
 • kuna njia gani za kujenga urafiki na Qur-ani zitakazo mfanya mtu azoeane na Qur-ani?
  10583 Tabia kimatendo
  Kama mtu atakaye isoma Qur-ani kwa nia ya kutafuta radhi za Mola wake, huku yeye akawa anaisoma Qur-ani hiyo kwa makini na kuitafakari vilivyo, basi Qur-ani iatamvuta mtu huyo na kumfanya awe ni mpezi wake wa rohoni. ...
 • Qur-ani ni muujiza wa mtume wa mwisho (s.a.w.w), muujiza wake basi uko katika hali gani?
  9590 Elimu za Qur-ani
  Kuna hali tatu za kimiujiza zilizotajwa kuhusiana na muujiza wa Qur-ani: muujiza unaohusiana na maneno ya Qur-ani, muujiza wa yale yalioomo ndani yake na muujiza wa Yule aliyekuja na Qur-ani (s.a.w.w) Muujiza unaohusiana na maneno ya Qur-ani umegawika katika sehemu mbili:
 • kwa nini tuwe wakalidi (wafuasi)?
  5681 تقلیدچیست؟
  Ruhusa ya kumfuata ulamaa maalumu katika matendo ya ibada za kila siku, inatakiwa kutolewa na akili ya mtu mwenyewe. Na wala ruhusa hiyo haingojewi kutoka kwa Maulamaa, huku kila mmoja akielewa umuhimu wa suala hili ndani ya maisha yake ya kila siku. Katika hali yakawaida, ...

YALIYOSOMWA ZAIDI