advanced Search
KAGUA
7662
Tarehe ya kuingizwa: 2010/08/15
Summary Maswali
nini hukumu ya msafiri aliyefunga, ambaye atasafiri kabla au baada ya kuingia Adhuhuri?
SWALI
Kuna njia gani ya kuifanya funga ya yule anayesafiri baada ya adhuhuri kuwa ni salama, je hivi yeye atatakiwa kurudi kabla ya adhana ya asubuhi, au anaweza kubakia hadi hadi kabla ya kuingia adhana ya adhuri ya siku ya pili?
MUKHTASARI WA JAWABU

1- safari itakayo fanywa baada ya adhuhuri huwa haiharibu funga, na funga ya siku hiyo itakuwa sahihi.[1]

2- na mtu ambaye yuko safarini kisha akaamua kurudi kwake kabla ya adhuhuri, au akaamua kwenda sehemu ambayo ana nia ya kuweka makazi yake hapo kwa muda wa siku kumi, na pia akawa amefika sehemu aliyoikusudia  kabla ya kuingia adhuhuri, huku mtu huyo akawa hakutenda tendo linalobatilisha funga, mtu huyo atatakiwa kuifunga siku hiyo, na funga yake ni sahihi.[2]

Kwa mfano: iwapo mtu ataondoka baada ya adhuhuri ya siku ya Jumamosi na kuelekea sehemu fulani, funga yake ya Jumamosi itakuwa ni sahihi,lakini iwapo yeye atataka kuifanya funga yake ya Jumapili pia kuwa ni sahihi, itambidi kurudi kwake au kuelekea sehemu ambayo anakusudia kuweka makazi ya yake kwa muda wa siku kumi kabla ya kuingia adhuhuri na atatakiwa kufika hapo kabla ya adhuhuri. Na funga yake itakuwa ni sahihi iwapo yeye atakuwa hakutenda tendo la kuibatilisha funga hiyo, na anatakiwa kutia nia ya kufunga baada ya kuwasili kwake, hapo funga yake itakuwa ni sahihi.

 

 


[1] Sherehe ya imam Khomeiniy  Taudhihul-masaaili, juz/1, uk/953, suala la 1721.

[2]   Sherehe ya imam Khomeiniy  Taudhihul-masaaili, juz/1, uk/954, suala la 1722, na uk/953, suala la 1721.

 

TARJAMA YA JAWABU KATIKA LUGHA NYENGINE
MAONI
Idadi ya maoni 0
Tafadhali ingiza thamani
mfano : Yourname@YourDomane.ext
Tafadhali ingiza thamani
<< Niburute.
Tafadhali ingiza kiasi sahihi ya usalama Kanuni

MPANGILIO WA KIMAUDHUI

MASWALI KIHOLELA

  • je kuna ukweli wowote kuhusiana na nukuu au habari zisemazo kuwa: Imamu Husein (a.s) na Yazidu wote wawili kwa pamoja walimposa Urainab? Na kama suala hilo ni la kweli, je jambo hilo liliweza kuchangia fitina za kutokea kwa vita vya Karbala?
    9784 گوناگون 2012/05/23
    Kuna baadhi ya vitabu vya Tarehe vilivyoeleza kuwa: ingawaje Yazidu alikuwa ana kila aina ya starehe alizozitayarisha kwenye nyumba yake, wakiwemo aina mbali mbali za wanawake, lakini bado alikuwa hatosheki, na hakuwa akiyafumba macho yake pale anapowaona wanawake waliojistiri wakitembea mitaani au wakiwa katika kazi zao za ...
  • Nini hukumu ya mwenye kumpa chakula muislamu asiyefunga?
    4274 گوناگون 2018/11/05
    Si tatizo mtu kumpa chakula wakati wa mchana muislamu asiyefunga ndani ya mwezi wa Ramadhani. Hukumu hii na kwa yule muislamu amedharurika kufunga. Kama vile kumpa chakula wakati wa mchana muislamu aliye mgonjwa au msafiri. Kwa upande wa pili; ni vyema kutompa chakula muislamu asiyeruhusika kula (asiye ...
  • je Imamu Huein (a.s) aliwahi kuwa na bint aliyeitwa Ruqayya?
    7420 اهل بیت و یاران 2012/05/23
    Katika tokeo muhimu la Karbala, kulikuwa kuna aina nyingi za nyuso zilizong’ara, na baadhi ya nyuso hizo zilikuwa ni nyuso za watoto wadogo, lakini Tarehe haikunukuu habari kamili kuhusiana na nyuso zote za watoto hao. Lakini mmoja miongononi mwa watoto waliotajwa na Tarehe, ni Ruqayya mwana wa ...
  • Vipi talaka hutimia, maneno gani hutumika kwa ajili ya talaka, na ni mara ngapi?
    11066 طلاق 2018/11/10
    Kulingana na madhehebu ya Shia, iwapo mtu atakasirika kupita budi, kiasi ya kwamba akawa ametoa talaka bila ya makusudia au bila ya hiari kwa kutokana na kutawaliwa na hasira kupita budi. Hapo talaka haitakutimia. Ila kama atakuwa amekasirika kupitia budi, ila bado yupo timamu na akawa ametoa ...
  • Niyə müsəlman bir kişi əhli kitab qadını ilə daimi evlənə bilməz amma müvəqqəti evlənə bilər?
    5799 اشتراک در دین 2015/06/02
    Kitab əhli qadınları ilə müsəlman kişilərin daimi evliliyi barədə fəqihlərin baxışı müxtəlifdir. Bu ixtilafın səbəbi bu sahədə olan müxtəlif rəvayətlərdən irəli gəlir. Belə nəzərə çarpır ki, bəzi hədislərdə bu evliliyə icazə verlməməsinin hikməti müsəlman kişilərin kafir qadınların əxlaq və xasiyyətlərinin və həmçinin inanclarının təsir altına düşməsinin qarşısını ...
  • nini maana ya itikafu
    18374 اعتکاف 2012/05/23
    Neno (itikafu) kilugha, huwa lina maana ya kule mtu kukaa na kubaki katika sehemu au pahala maalumu, huku akiwa ameshikamana na jambo maalumu ndani ya mahala hapo, lakini neno hili kitaalamu (kwenye fani ya sheria za Kiislam) linamaanisha kule mtu kukaa katika sehemu takatifu kwa ajili ya ...
  • je ndani ya hadithi kuna ushahidi wowote unaoelezea kuwa Ramadhani ni siku tahalathini?
    9421 Elimu ya Hadithi 2012/05/23
    Kila mwaka wa Hijiria kwa kawaida huwa una miezi kumi na mbili, na masiku ya miezi huwa yanahesabiwa kwa kuonekana kwa mwezi, hii ni kanuni ya mwaka wa Hijiria, ama mwaka Shamsia kwa kawaida masiku yake huwa tayari yameshatambulikana, na suala la kuonekana kwa mwezi si suala ...
  • Kodi za yanayohusiana na maudhui
    3528 اعتکاف 2018/11/10
    Kwanza tuwie radhi kawa kuchelewa kukujibu swali lako. Tuna tazizo wakati mwengine la kuchelewa kujibu maswali kwa haraka, hii ni kwa kutokana na kuzidiwa na maswali, au wafanya kazi wetu kuto kuwa na muda wa kutosha katika kujibu maswali mbali mbali. ...
  • kwa mtazamao wa Kiislamu, mwanaadamu ni kiumbe gani?
    10834 Elimu mpya ya Akida 2012/05/26
    Kwa mtazamo wa Qur-ani, mwanaadamu ni kiumbe aliyebeba sifa mbili tofauti za kimaumbile, moja ni ile inayotokana na maumbile aliyopewa tokea mwanzo kutoka kwa Mola wake, nayo ni maumbile ya kiroho, na ya pili inatokana na maumbile ya kiwiliwili alichonacho. Maumbile asili ya kiroho (kifitra), huwa ni ...
  • maisha ya kiucha-Mungu ni maisha ya aina gani? Je misngi ya maisha hayo haipingani na misingi mikuu ya maisha yetu?
    11936 بندگی و تسبیح 2012/05/23
    Iwapo sisi tutailelekea Qur-ani Tukufu, kisha tukaiuliza Qur-ani swali lifualato: je sisi tumeumbwa kwa ajili gani? Hapa tutaiona Qur-ani ikitujibu kwa kauli ifuatayo: " وَ ما خَلَقْتُ الْجِنَّ وَ الْإِنْسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ. " Maana yake ni kwamba: (Mimi (Mola) sikumuumba mwanaadamu wa jini, ila ...

YALIYOSOMWA ZAIDI