HAZINA YA MASWALI(STIKA:elimu na maarifa)
-
Qur-ani ni muujiza wa mtume wa mwisho (s.a.w.w), muujiza wake basi uko katika hali gani?
12775 2012/05/23 Elimu za Qur-aniKuna hali tatu za kimiujiza zilizotajwa kuhusiana na muujiza wa Qur-ani: muujiza unaohusiana na maneno ya Qur-ani muujiza wa yale yalioomo ndani yake na muujiza wa Yule aliyekuja na Qur-ani s.a.w.w