HAZINA YA MASWALI(STIKA:kufuga njiwa)
-
nini hukumu ya kufuga njiwa ndani ya sheria za Kiislamu? Na nini msingi hasa wa hukumu hiyo?
24585 2012/06/17 Sheria na hukumuTukilitazama suala la kufunga njiwa kibinafsi tutalikutia kuwa suala hili halina matatizo na ni halali. Lakini pale sisi tutapolimbatanisha suala hili na haki za majirani au wanajamii hapo tunaweza ku