HAZINA YA MASWALI(STIKA:kushinda)
-
Qur-ani ina aina tatu kuu za miujiza ndani yake: A- muujiza wa maneno yake. B- muujiza wa yale yaliyomo ndani yake. C- muujiza kwa upande wa Yule aliyekuja na Qur-ani (s.a.w.w).
Ni kiwango gani basi cha uzito wa dalili unaopatikana ndani ya kila mmoja kati ya miujiza hiyo katika njia za kusimamisha dalili ithibitishayo kuwa: Qur-ani ni yenye kutokana na Mola Mtakatifu?
13845 2012/05/23 Elimu za Qur-aniTukitoa jawabu ya kiujumla jamala kuhusiana na swali hilo lililoulizwa hapo juu tunasema kuwa: si katika zama za zamani au za hivi sasa tu bali katika zama zote hakujawahi kutokea mtu aliyeweza kuja n