HAZINA YA MASWALI(STIKA:mwanaadamu)
-
kwa mtazamao wa Kiislamu, mwanaadamu ni kiumbe gani?
11534 2012/05/26 Elimu mpya ya AkidaKwa mtazamo wa Qur-ani mwanaadamu ni kiumbe aliyebeba sifa mbili tofauti za kimaumbile moja ni ile inayotokana na maumbile aliyopewa tokea mwanzo kutoka kwa Mola wake nayo ni maumbile ya kiroho na ya
-
kama kweli dini imekuja kuimarisha maisha ya dunianai na Akhera, basi mbona maisha ya baadhi ya wale wasio fungamana na dini, wao ni wenye nyenendo zenye mfumo bora azaidi wa maisha?
12238 2012/05/23 Tabia kimatendoUislamu umekuja kwa ajili ya kuwapangia wanaadamu mfumo maalumu wa sheria za kijamii sheria ambzo ni kwa ajili ya kuweka uhusiano salama na wenye mafanikio baina yao wenyewe kwa wenyewe baina yao na M
-
hivi ni kwanini baadhi ya watu katika ulimwengu wa ndoto huonekana katika umbile la kinyama, hali ya kuwa wao baadae walionekana kuwa ni miongoni mwa watu waliofaulu na kupata daraja mbali mbali za utukufu.
13649 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaKuna Aya na Riwaya mbali mbali zenye kuonesha kuwa hali na sura halisi za maumbile ya baadhi ya watu ni zenye kutafautiana na lile umbile lao dhahiri wanalo onekana nalo katika ulimwengu huu wa dhahir
-
tafadhalini tunaomba mutufafanulie naana ya Aya isemayo:
“لا اكراه فى الدّين قد تَبَيّن الرّشدُ مِن الغىِّ...”
10361 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaTukizingatia aina mbali mbali za tafsiri kuhusiana na Aya hii tutaona kuwa kuna kauli tano tofauti zilizotajwa katika kuifasiri Aya hiyo na kauli sahihi ni ile isemayo kuwa Aya hii imebeba ujumbe kwa
-
jee mwanaadamu ni mwenye uhuru katika matendo yake? Na kama yeye ni mwenye uhuru, basi mipaka ya uhuru wake ikoje?
8636 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaMara nyingi mwanaadamu akiwemo katika msafara wa maisha yake binafsi hujikuta akiwa ni mpweke na mgeni ndani ya msafara huo. Lakini hakuna budi kila mmoja wetu kuwemo ndani ya msafara huo. Ukiizingati
-
kwa nini Mola mtukufu hakuwahidi walimwengu wote na kuwafanya wawe ni watu wa kheri walioongoka?
11085 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaNamna ilivyotumiwa Aya iliopita hapo juu ambayo ni Aya ya 13 ya Suratu Sijda katika usimamishaji wa dilili hiyo iliyosema kuwa: Mola hakuwaongoza viumbe wake haikuwa sawa. Kwa sababu ni wazi kabisa ku