advanced Search

HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:Tabia kimtazamo)

  • kuna tofauti gani baina ya tabia na eimu ya tabia (saikolojia)?
    31759 2012/06/17 Tabia kimtazamo
    Neno tabia linatokana na neno la Kiarabu اخلاق ambalo ni umoja wa neno خلق lenye maana ya tabia nyenendo au sifa za watu mbali mbali zinazo zimbatana na matendo yao bila ya kutofautisha baina ya sifa
  • nini maana ya ucha Mungu?
    19790 2012/05/23 Tabia kimtazamo
    Taqwa ucha Mungu ni nguvu maalumu za kiroho zinazo weza kupatikana ndani ya nafsi ya mwanaadamu nguvu ambazo huwa ni himaya maalumu inayomuwezesha yeye kujitenga na maasi. Taqwa kamili ni ile inayomfa
  • nini maana ya itikafu
    19349 2012/05/23 Tabia kimtazamo
    Neno itikafu kilugha huwa lina maana ya kule mtu kukaa na kubaki katika sehemu au pahala maalumu huku akiwa ameshikamana na jambo maalumu ndani ya mahala hapo lakini neno hili kitaalamu kwenye fani ya
  • kwa nini Imamu Husein (a.s) anaitwa Tharu-Llahi (ثار الله)?
    11718 2012/05/23 Tabia kimtazamo
    Neno Tharu-Llahi ثار الله limekuja likiwa na maana mbili: moja ni kwa maana ya damu na ya pili ni kwa maana ya kulipiza kisasi na kutaka kummwga damu ya muuwaji. Kwa hiyo maana ya mwanzo inapotumika

MASWALI KIHOLELA

YALIYOSOMWA ZAIDI