HAZINA YA MASWALI(STIKA:Uislamu)
-
nini siri hasa ya Uslamu kuwa ni dini ya mwisho, na nini pingamizi hasa ya bwana Surush juu ya hilo?
13342 2014/02/12 Elimu ya zamani ya AkidaKuzingatia nukta zifuatazo kutaweza kumsaidia msomaji kulitambua vyema suala hili: 1- Hitimisho la utume lina maana ya hitimisho la dini; na hii inamaanisha kuwa hakutokuja mtume mwengine baada Yake
-
kwa nini Uislamu unaamuru kuwanyonga wanaoritadi? Je hilo haliendani kinyume na uhuru wa kila mmoja kuabudu anacho kitaka?
21188 2012/05/23 Sheria na hukumuKuritadi ni kitendo cha wazi kabisa cha kutoka katika dini na mara nyigi tendo hilo hutumika kama ni nyenzo ya kuwadhoofisha wengine kiimani na kuwafanya waache dini yao na hatimae kuwatoa na kuwaweka
-
je mababu na wana wa Maalik Ashtar walikuwa ni wapenzi na wanaumini wanao uunga mkono uongozi wa Ahlul-Bait (a.s)?
7776 2012/05/23 تاريخ بزرگانKwa kweli hakuna kitabu miongoni mwa vitabu maarufu vya Tarehe vyenye kutegemewa kilichozungumzia na kuthibitisha suala la hali halisi juu ya wazee wa Maalik Ashtar bali tu kinachofahamika kuhusiana n