HAZINA YA MASWALI(STIKA:kaburi)
-
je Imamu Huein (a.s) aliwahi kuwa na bint aliyeitwa Ruqayya?
7737 2012/05/23 تاريخ بزرگانKatika tokeo muhimu la Karbala kulikuwa kuna aina nyingi za nyuso zilizong ara na baadhi ya nyuso hizo zilikuwa ni nyuso za watoto wadogo lakini Tarehe haikunukuu habari kamili kuhusiana na nyuso zote