HAZINA YA MASWALI(STIKA:saumu)
-
Nini hukumu ya mwenye kumpa chakula muislamu asiyefunga?
4630 2018/11/05 گوناگونSi tatizo mtu kumpa chakula wakati wa mchana muislamu asiyefunga ndani ya mwezi wa Ramadhani. Hukumu hii na kwa yule muislamu amedharurika kufunga. Kama vile kumpa chakula wakati wa mchana muislamu al
-
je ndani ya mchana wa Ramadhan iwapo mtu yeye pamoja na mkewe atakuwa hakufunga, hivi ataruhusiwa kulala na mkewe ndani ya mchana huo?
12740 2012/05/23 Sheria na hukumuNdani ya fatwa za wanazuoni kuna mambo 9 ya msingi yenye kubatilisha saumu nayo ni: 1- kula na kunywa 2- kujamii 3- kupiga ponyeto 4- kumzulia uongo Mola na Mtume wake pamoja na maimamu s.a.w.w 5- ku
-
je ni wajibu wangu kulipa fidia ya funga zilizonipita kwa kutokana na uzembe wa wazazi wangu?
7584 2012/05/23 Sheria na hukumuOfisi ya Ayatullahi Sistani Mungu ameweke inajibu kwa kusema: Iwapo wewe ulikuwa hujui kuwa saumu ni wajibu basi lipa tu hizo funga za miaka minane na hakuna haja ya kuzilipia fidia. Ofisi ya
-
je mwenye saumu anaruhusiwa kukoga janaba?
20976 2012/05/23 Sheria na hukumuMtu anaweza kupatwa na janaba katika hali mbili: ima itakuwa ni kabla ya adhana ya asubuhi au baada ya adhana ya asubuhi lakini janaba tunalolizungumzia hapo ni lile janaba la dharura kama vile dharur
-
nini hukumu ya msafiri aliyefunga, ambaye atasafiri kabla au baada ya kuingia Adhuhuri?
8033 2012/05/23 Sheria na hukumu1- safari itakayo fanywa baada ya adhuhuri huwa haiharibu funga na funga ya siku hiyo itakuwa sahihi. [ 1 ] 2- na mtu ambaye yuko safarini kisha akaamua kurudi kwake kabla ya adhuhuri au akaamua kw
-
nini hukumu ya mtu aliyekuwa anadaiwa funga kisha akawa hakuilipa funga hiyo hadi akafikiwa na Ramadhani nyengine ya mwaka ulioufata?
13829 2012/05/23 Sheria na hukumuTokeo hilo linaweza kutokea katika sura tatu nasi tutazifafanua sura hizo na kuzijibu kwa mujibu mitazamo ya maulamaa isemavyo. Na jawabu zetu ni kama ifuatavyo: 1- iwapo mtu ataacha kufunga kwa kut
-
ni zipi funga zilizo zisizofaa kwa mtazamo wa imam Shafi, Hanafi na Maalik?
14230 2012/05/23 Sheria na hukumuMasiku yasiyofaa kufunga saumu mbele ya imam Abu Hanifa ni: siku ya idi ndogo na idi kubwa pia kufunga siku ya mwezi 11 12 na 13 ya mwezi wa Dhil-hijja pia kufunga ndani ya idi pili hadi nne za idi ya
-
je mtu asiwajibikiwa kufunga (asiyefunga) ana ulazima wa kutoa zakatul-fitri?
10718 2012/05/23 Sheria na hukumuMtu atakaeingiliwa na usiku wa Idil-fitri huku akiwa ni baleghe na mwenye akili timamu naye akiwa si mtumwa wa mtu wala si fakiri mtu huyo atawajibika kutoa zakatul-fitri kwa ajili yake na kwa ajili y
-
hivi mvuta sigara aweza kuvuta sigara hali akiwa amefunga?
7059 2012/05/23 Sheria na hukumuWanazuoni wote wa Kifiqhi wanasema kuwa: ni wajibu wa kila mwenye funga kuchukuwa tahadhari na kutofikisha kitu chochote kile kama vile tumbaku au moshi wa sigara ndani ya koo yake. [ 1 ] Na hakuna