HAZINA YA MASWALI(STIKA:asiye halali kuwa na mahusiano naye bila ya kuwepo masharti maalumu)
-
je hivi mnaweza mkanipatia baadhi ya Riwaya zenye kukataza kuwepo kwa mahusiano baina ya msichana na mvulana?
12662 2012/06/17 Sheria na hukumuMsichana na mvulana wanaweza kuwa na aina mbali mbali za mahusiano ndani ya jamii ya wanaadamu na bila shaka baadhi ya mahusiano hayo huwa si mahusiano salama na si halali. Kwa kweli swali lililo uliz