HAZINA YA MASWALI(STIKA:matendo)
-
kuna njia gani za kujenga urafiki na Qur-ani zitakazo mfanya mtu azoeane na Qur-ani?
12465 2012/05/23 Tabia kimatendoKama mtu atakaye isoma Qur-ani kwa nia ya kutafuta radhi za Mola wake huku yeye akawa anaisoma Qur-ani hiyo kwa makini na kuitafakari vilivyo basi Qur-ani iatamvuta mtu huyo na kumfanya awe ni mpezi w