HAZINA YA MASWALI(STIKA:matumizi ya neema zilizomo duniani)
-
ni sharti gani sahihi za utumiaji wa vitu au neema zilizomo ulimwenguni?
9661 2012/06/17 Tabia kimatendoUislamu haukuyazingatia mahitajio ya mwanaadamu kwa upande mmoja tu kama vile zilivyo fanya dini nyengine kwani dini nyingi ima hugharamika katika kuyazingatia mahitajio ya kiroho peke yake au mahitaj