HAZINA YA MASWALI(STIKA:minne)
-
Je ni kweli kuwa Imamu Husein (a.s) aliwahi kuwa na binti mwenye umri wa miaka mitatu au mine, aliyejulikana kwa jina la Ruqayya au Sukaina anaye semekana kuwa alifariki dunia huko Damascus?
10167 2012/05/23 تاريخ بزرگانIngawaje wengi miongoni mwa waandishi wa Historia hawakukinukuu kisa cha kuwepo kwa mtoto huyo wa kike wa Imamu Husein a.s mwenye umri wa kiasi cha miaka mitatu au mine aliyejulikana kwa jina la Ruqay