HAZINA YA MASWALI(STIKA:shetani)
-
hadi kufia leo, ni watu gani walio weza kusimama mbele ya shetani, na walitumia njia gani katika kupambana naye?
14020 2012/06/17 Tabia kimatendoKwa mtazamo wa Qur-ani ni kwamba: shetani hana uwezo wa kuwamiliki na kuwadhibiti wacha Mungu wenye ikhlasi na Mola wao. Wacha Mungu wenye ikhlasi ni wale walio ifikia daraja maalumu ya ucha Mungu j