HAZINA YA MASWALI(STIKA:wazazi)
-
je ni wajibu wangu kulipa fidia ya funga zilizonipita kwa kutokana na uzembe wa wazazi wangu?
7733 2012/05/23 Sheria na hukumuOfisi ya Ayatullahi Sistani Mungu ameweke inajibu kwa kusema: Iwapo wewe ulikuwa hujui kuwa saumu ni wajibu basi lipa tu hizo funga za miaka minane na hakuna haja ya kuzilipia fidia. Ofisi ya